Ha tusijimishe mwangaza kwa mauwaji ya Congo!

The Issue

Italiano​ | English​ | Français​ | Español

MWITO WA MAPADRI WA ROSOLINI (SR) KWA SERKALI YA ITALIA,

Mwanga wa Luca ni mwanga wetu sisi sote.

Twatambua kwamba kuna giza kwa sababu kuna mwanga, na kwa kweli, Mwanga wa Luca Attanasio, balozi wa Italia inchini Congo, aliyewawa pamoya na polisi Vittorio Iacovacci na dereva Mustapha Milambo, ukiwa mwanga kiasi lakini unajaa maisha.

 Kufuatana na ushuhuda mbalimbali kutokea vifaa vya habari na pia kwenye juimiya rafiki zetu wa pale Nord Kivu, wote wahakikisha kwamba balozi Luca alikuwa mtu mwenye kujitolea sana kwa ajili ya waitaliani wanaoishi inchini Congo, mtu wa umakini pamoja na mkewe kwa kuwashurulikia wazaifu, hasa watoto kwa namna ya peke:

Kwa muda wa miaka ishirini na zaidi, Jamhuri ya Kidemocratia ya Congo inaishi katika giza: ukosefu wa Haki za binadamu, kuzoroteka siku kwa siku ya maisha, afya, chakula na elimu. Giza kina ni kuhusu amani.

Kukosewa haki ndogo inayoruhusu kuishi na kidogo tu na kuwakusanya watoto wengi ili wapate kicheko tele.

Kuna pia giza ya uwongo: hapa Ulaya inatawanyika habari kwamba vita ya Congo ni ya makabila. Bongo tupu! Ni mizozo inayochochewa na inchi jirani, na  mashirika ya kimataifa (mamultinationale), na serkali ya kimataifa tayari kwa aina yeyote ya rushua. Na wote wanavutiwa tu na kupora  utajiri mkubwa ambao eneo hili linatoa: zahabu, almasi, coltan, zinki, urani, feza, petroli na mengi zaidi. Lakini matukio ya haya yote hayaonyeshwe, ao nasi hatutaki kuyaona njoo maana tunaikemee na nguvu yote: ni mto wa damu ambao unapita juu ya maeneo haya, damu ya mwangika kila siku, wacongomani wanateshwa mno, na mbele ya macho ya ONU na taasisi za Ulaya na za ushirikiano wa kimataifa, lakini watu wote wanabaki kimya. Hii ni giza ya kutojali.

Leo hii moto wa Luca umezimwa na umefagiliwa mbali na vurugu zile zile ambazo tunaendelea kutokuona, lakini taa ya Luca imebaki na, kwa kweli, imekuwa na nguvu. Sisi sote tunapaswa kuweka taa hiyo juu, kuichunga sisi sote. Tuwe sisi wote wenyewe mwanga huu, tuwe imara na tuungane kwa kuonyesha wazi ukweli unaofunikwa na giza.

Kwa kumkumbuka Luca Attanasio pamoja na milioni ya wacongomani waliyowawa, tunaomba na nguvu yote kuondoa kabisa unafiki na uwongo wowote. Kwa hivyo tunaomba hii mwito ifikie serkali ya Italia na maagizo ya Ulaya na pia ONU, ili:

  • ikubaliwe kwamba ONU imeshindwa sana kwa kulinda amani inchini Congo. Na kwa hiyo, ichukuliwe mipango mipya kwa kuwalinda kweli kweli Raia na kuondoa hali yeyoye ya ugovi, hasa katika eneo ya Kivu.
  • hatua za uamuzi zinachukuliwa kulaani na kuizinisha vikali mashambulio ya mara kwa mara na yaliyolengwa na mataifa jirani, yakiwa na hamu ya kupora utajiri wa Congo, hasa Rwanda na Uganda, ambazo, kwa umoja mkubwa wa kimataifa, zinayumbisha maeneo ya mpakani, husababisha mamia ya maelfu ya watu
  • kukimbia na kuchukua arzi na madini ya thamani;
  • bunge ya Ulaya ifwatilie Ripporti Mapping iliyosawanishwa na ONU kumepita zaidi ya miaka kumi. Ifungue Tribunal Penale International itakayo husika na kujua ukweli na kuhukumu mambo ya kutisha na ya kumwanga damu inchini mwa Congo.
  • kufuata sheria iliyoizinishwa na EU ambayo inalazimisha kampuni kutangaza asili ya madini ambayo inaweza kuchochea migogoro na uthabiti inathibitishwa;
  • lihukumiwe vikali sana tendo la ubakaji wa wanawake na kundi zote zenye shilaha na zinazovunja umoja na muungano ndani ya jamii na jumuiya.

Tukiungwa mkono na jumuiya zetu, tunaomba maagizo ya kidini, ya kiserkali na vikundi mbalimbali ya umoja wa wakaaji, na pia vyama vyengine na wanainchi wa Ulaya, na kwa nini wasiwe wa dunia nzima, tuambatane wote katika mwito huu ili mwanga urudi kuangazia raia ya Jamhuri ya Kidemokratia ya Congo.

This petition had 6,556 supporters

The Decision Makers

Serikali ya Italia
Serikali ya Italia

Petition Updates