Kupinga Makato Makubwa ya Miamala ya Kutuma na Kupokea Pesa

The Issue

Makato mapya ya miamala ya utumaji na utoaji wa pesa kwa njia ya mitandao ambayo seriakli imeyapitisha ni mzigo mkubwa kwa sisi watumiaji.

Tumebebeshwa mzigo mkubwa ambapo serikali kwa kukosa ubunifu wa kukusanya mapato inalazimisha kuchukua pesa tunazozitafuta kwa shida bila huruma yoyote.

Serikali inachukua kiasi kikubwa zaidi katika makato hayo kuliko kiasi kinachotozwa na mitandao ya simu.

Kwa mfano;

KUTUMA PESA

Ukituma pesa kati ya TSh 50,000 hadi TSh 99,999 kwa kutumia mtandao wa M-pesa utakatwa Jumla ya TSh 720 na Mpesa wakati tozo ya serikali pekee ni TSh 2,050. Kwanini serikali ichukue kiasi kikubwa kiasi hiki?

KUTOA PESA

Ukitoa pesa kiasi kama kilichotajwa hapo juu (TSh 50,000 hadi TSh 99,999) M-pesa watakuchaji TSh 2,700 (pamoja na VAT), makato ya serikali wakati wa kutoa pia ni TSh 2,050 Jumla ya  kwa kutoa pekee makato ni TSh 4,750.

Hii inamaanisha endapo unahitaji yule anayepokea apokeea TSh 50,000 kamili pindi anapotoa kwa wakala itakugharimu TSh 7,520 zaidi. (uwe na TSh 57,520 kwenye akaunti yako.

Hii ni haki?

Huo ni mfano mmoja tu, lakini kimsingi kwa kiasi chochote utakachotoa au kutuma makato ni makubwa.

Unaweza kufanya uchunguzi zaidi kwa kuangalia muundo wa makato kwa kubofya hapa.

Binafsi sikubaliani na makato haya  na ninakuomba uungane na mimi kuunga mkono usitishaji wa makato hayo.

Wape taarifa wengine waungane na sisi katika hili share petition hii mara nyingi uwezavyo.

avatar of the starter
Raia RaiaPetition Starter
This petition had 117 supporters

The Decision Makers

Bunge la Tanzania
Bunge la Tanzania
Mamlaka ya Mawasiliano
Mamlaka ya Mawasiliano
Wizara ya Fedha
Wizara ya Fedha
Petition updates
Share this petition
Petition created on 15 July 2021