Okoa Bandari Za Tanzania Bara: Linda Uchumi wa Vizazi Vijavyo
The Issue
Endapo tutaruhusu serikali iingie kwa haraka mkataba wa kubinafsisha bandari zetu zote, niwazi kuwa kitovu cha uchumi wetu kitakuwa chini ya usimamizi wa watu wengine kwa muda usio julikana na hatujui nini itakuwa hatima yetu na vizazi vyetu kiuchumi.
Tukizuia mkataba huu, tutakuwa tumeokoa uchumi wetu, pia tutakuwa tumeshiriki kuhakikisha nchi yetu inakuwa salama.
Tupaze sauti sasa kabla mambo hayajatufika kwani watawala waliopo ni wa muda tu na hatujui wamepewa nini kuwezesha jambo hili, ni muda wa kupaza sauti zetu kupinga jambo hili.

Petition Updates
Share this petition
Petition created on 11 June 2023