Petition Closed

MO DEWJI APEWE SIMBA

This petition had 86 supporters


Sisi wapenzi wa Simba tumechoshwa na kushindwa kila mara.

Tumechoshwa na namna mambo yanavyoendeshwa Simba.

Tumeanzisha kampeni hii tukitaka kila mpenzi wa Simba anayetaka mabadiliko kusaini azimio hili ili kuwashawishi viongozi na wanachama wa Simba kumpatia hisa nyingi Mo Dewji.

Ukitaka mabadiliko saini azimio hili kwa kutembelea hapa!

MO OKOA SIMBA!!!

SIMBA MTUSIKILIZE.

NI MO PEKEE ANAWEZA KUTUSAIDIA KUSHINDA.Today: john is counting on you

john mkono needs your help with “UONGOZI WA SIMBA: TUMFANYE MO DEWJI AWE MWENYE HISA NYINGI SIMBA”. Join john and 85 supporters today.