Petition Closed

Stop the ritual killings of albinos for their body parts in Tanzania.

This petition had 1,867 supporters


One in 75 people is a carrier of albinism, and one in 17,000 people has albinism. However, in Tanzania albinos represent one in every 1429 births, a much higher rate than in any other country. Albinism is a genetic condition which affects the hair, eyes and skin. Around the world, there are many stigmas attached to people with albinism.

In the rural areas of Tanzania, people with albinism, particularly children,   are being abducted, sold and killed for their body parts because of the widespread belief, propounded by witch doctors, that their bones contain  magic powers, which can bring good luck and fortune. Recently, a small child, Yohana, was found dead, having had all his limbs hacked off, and a four-year-old girl remains missing.

The reality is that people with albinism are just like any other human being. Albinism can occur in any race without discrimination.The only difference is that, in a person with albinism, there is a complete absence of melanin. They are very pale with fair hair and light eyes.

The government of Tanzania has banned witch doctors in an attempt to end albino killings, placing albino children in special homes, but this is not the answer. Much more needs to be done. 

We are letting the Tanzanian government know that the world is watching and listening and that we will not stand by and let this barbarity continue.

We want the Tanzanian government to properly protect their people with albinism from discrimination, punish the perpetrators, and bring about a programme of education for the citizens of Tanzania, so that these myths are debunked and albinos do not have to live in fear.

By signing this petition, you will be giving a voice to the people with albinism in Tanzania.

IMETOSHA! KWA ALBINO

Moja kati ya watu sabini na tano (75) ni mbebaji wa vinasaba vya Albino na mmoja kati ya watu elfu kumi na saba (17,000) ana hali ya Albinism.Nchini Tanzania,kati ya watoto elfu moja mia nne tisini na mbili (1492) mmoja huzaliwa akiwa Albino ikiwa ni kiwango cha juu kati ya Nchi nyingne yeyote.Albnism ni hali ya ukosekanifu vinasaba ambayo huathiri nywele,macho na ngozi.Duniani kote kuna watu wenye Ualbino.

Katika sehemu za vijiji Nchini Tanzania watu wenye Albinism hasa watoto wamekuwa wakitekwa,wakiuzwa,kuuliwa na kukatwa viungo vyao vya mwili kwa sababu ya imani za kishirikina zinazoelekezwa na waganga wa kienyeji kuwa mifupa yao huleta bahati,mvuto wa kibiashara na kisiasa.Hivi punde tu mtoto Yohana mwenye umri wa miaka sita akiwa na mama yake huko Rukwa walivamiwa na watu wasiojilikana na kukatwa kiganja chake cha mkono wa kulia huku mtoto mwingine wa kike wa miaka minne (4) huko Arusha akiripotiwa kutoonekana.

Ukweli ni kwamba watu wenye Albino ni kama watu wengine,Albinism inaweza mpata mtu yeyote tofauti ni kwamba Albino hawana/wamekosa Melanin,madini ambayo hufanya Macho,Ngozi,na Nywele kuwa na rangi yake halisi.

Serikali ya Tanzania imechukua hatua kadhaa kuhakikisha imakomesha mauaji ya Albino ikiwa ni pamoja na kufunga shughuli za waganga wa kienyeji,kuiweka jamii ya watu wenye Albinism sehemu moja na maalum lakini haitoshi.Tunataka iambia Serikali ya Tanzania kuwa Dunia inaangalia,inasikiliza na kufuatilia kwa karibu makini hivyo haiku tayari kuona ukatili huo ukiendelea.

Tunataka serikali ya Tanzania kutowabagua na kuwalinda Albino,kutoa adhabu kali kwa watekelezaji wa vitendo hivyo vya kinyama dhidi ya Albino na kuanzisha mpango mkakati wa kutoa elimu kwa raia wake ili kuondoa dhana potofu zimezojengwa kuhusu Albino na kufanya jamii ya watu wa Albino kuishi kwa amani na bila hofu ya Maisha yao ndani ya mipaka ya Nchi yao.

 Today: Graham is counting on you

Graham Long needs your help with “The Government of Tanzania. President Jakaya Kikwete.: Stop the ritual killings of albinos for their body parts in Tanzania.”. Join Graham and 1,866 supporters today.