Petition Closed

"Mshinikize Raisi Magufuli amuondoe RC Paul Makonda"

This petition had 2,059 supporters


Wananchi wote kwa ujumla wa Taifa la Tanzania, bila kujali tofauti ya itikadi zetu za vyama, ungana nasi kumshinikiza Raisi John Pombe Magufuli amuondoe RC Paul Makonda katika nyadhifa yake kama Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwa sababu ya mlolongo wa matukio ya uvunjaji wa sheria na ukiukwaji wa haki za binadamu. Sambaza ujumbe huu kwa kadri uwezavyo. Mabadiliko huanzia na wewe.Today: Anonymous is counting on you

Anonymous Network needs your help with “Raisi John Pombe Magufuli: "Mshinikize Raisi Magufuli amuondoe RC Paul Makonda"”. Join Anonymous and 2,058 supporters today.