UPO TAYARI KWA TUME HURU YA UCHAGUZI TANZANIA? PIGA KUUNGA MKONO

UPO TAYARI KWA TUME HURU YA UCHAGUZI TANZANIA? PIGA KUUNGA MKONO

0 have signed. Let’s get to 500!
At 500 signatures, this petition is more likely to be featured in recommendations!
Amos Tanzania started this petition to PEOPLE IN TANZANIA

Tume huru ya uchaguzi italeta viongozi bora tunaowataka watuongoze. Tupata maendeleo, hamasa na furaha kubwa. Changamoto ya kukosa tume huru ya uchaguzi inanyima wananchi hanasa ya kupiga kura, inawanyima wananchi furaha kubwa itokanayo na demokrasia. Nchi kubwa imara kiuchumi, kiuongozi, zenye uhuru zinademokrasia. Karibu tuhamasishe serikali na wadau wote kuanzisha mchakato wa mabadiliko ya katiba tupate tume huru. Mungu akubariki.

0 have signed. Let’s get to 500!
At 500 signatures, this petition is more likely to be featured in recommendations!