Petition Closed

Rejesha stadium ni Mali halali ya Halmashauri ya jiji la Arusha

This petition had 1,382 supporters


Haya ni mapambano ya kurejesha uwanja wa mpira wa Sheik Amri Abeid (Stadium) kwa Halmashauri ya Jiji la Arusha

Ccm wanapora uwanja huu ambao nyaraka mbalimbali zinaonyesha kuwa ni Mali ya Halmashauri na umma wa Arusha kwa ujumla

Tuungane kwa pamoja bila kujali itikadi ili uwanja huu urudi Halmashauri na utumike kwa ajili ya watu wa Arusha na umma mpana kwa ujumla

Sahihi yako itafanya uwanja urudi Halmashauri,

Sahihi yako,Uwanja unarudi!

Nanyaro EJ

Diwani-LevolosiToday: Nanyaro is counting on you

Nanyaro Nanyarotz needs your help with “Halmashauri ya Jiji la Arusha: Rejesha stadium ni Mali halali ya Halmashauri ya jiji la Arusha”. Join Nanyaro and 1,381 supporters today.